Happy Birthday Bangala

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Jan 2022
Happy Birthday Bangala

Leo amezaliwa kiraka Yannick Bangala, mchezaji wa Kimataifa kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo

Yanga inajivunia kuwa na mwamba huyu ambaye anaweza kutumika katika nafasi yoyote katika safu ya ulinzi na kiungo

Bangala ametengeneza pacha ya aina yake na Mganda Khalid Aucho na kuifanya Yanga iwe timu ngumu kuishinda katika eneo la kiungo

Tunamtakia kila la kheri katika siku hii muhimu ya kumbukumbu kwake

Happy Birthday YANNICK..!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
9h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
13h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
18h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
18h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
22h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’