Mchezo wa kirafiki dhidi ya Mbuni Fc utapigwa kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid kuanzia saa kumi kamili jioni
Tunawakumbusha kwa wale wa wakazi wa Arsuha mnaweza kujipatia tiketi katika maeneo haya
Mchezo pia utakuwa mbashara kupitia Azam Sport 1 HD


ADVERTISE HERE