Klabu ya Yanga inaendelea na zoezi la kusaka vijana wadogo watakaojiunga na klabu hiyo.
Zoezi hilo lililoanza wiki iliyopita linafanyika katika uwanja wa Karume jijini Dar es salaam.
Vijana wanaosailiwa ni wenye umri kati ya miaka 10 hadi 15.

ADVERTISE HERE