Kikosi cha Yanga kinaendelea na maandalizi ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Polisi Tanzania ambao utapigwa Jumapili, Januari 23 katika uwanja Sheikh Amri Abeid
Yanga inafanya mazoezi katika uwanja huo ambao utatumika Jumapili








ADVERTISE HERE