Kikosi cha Yanga kinaendelea na mazoezi mkoani Arusha kujiandaa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Polisi Tanzania ambao utapigwa keshokuwa Jumapili
Leo Wananchi waliingia Gym kuweka sawa miili tayari kuwakabili Polisi Tanzania, vijana wa IGP Saimon Sirro







ADVERTISE HERE