Mali yasonga mbele 16 bora Afcon

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Jan 2022
Mali yasonga mbele 16 bora Afcon

Mlinda lango wa Yanga Djigui Diarra anaendelea kuiwakilisha vyema ligi kuu ya Tanzania huko Cameroon baada ya Mali kufanikiwa kutinga hatua ya 16 bora michuano ya Afcon 2021

Mali wamemaliza hatua ya makundi wakiwa vinara wa kundi F baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Mauritania

Diarra ataendelea kukosekana kwenye kikosi cha Yanga kwa muda mrefu zaidi baada ya Mali kufuzu

Kama wasingefuzu, Diarra angerejea mapema kuendelea na majukumu yake

Hata hivyo lango ya Yanga linaendelea kubaki salama katika mikono ya Aboutwalib Mshery

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
2h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
10h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
13h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’