Yannick, Mukoko, Djuma waitwa DR Congo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
24 Jan 2022
Yannick, Mukoko, Djuma waitwa DR Congo

Wachezaji wa Yanga Mukoko Tonombe, Yannick Bangala na Djuma Shabani wameitwa katika kikosi cha timu ya Taifa ya DR Congo kwa ajili ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Bahrain ambao utapigwa Februari 01 huko DR Congo

DR Congo inajiandaa na mchezo wa play-off kusaka tiketi ya fainali za kombe la Dunia wakitarajiwa kucheza na Morocco mwezi March 2022

Hii ni mara ya pili nyota hao kuitwa pamoja kwani mwezi uliopita pia walijumuishwa katika kikosi kilichoweka kambi Misri na kucheza mechi mbili za kirafiki

Ndio wachezaji pekee kutoka Tanzania waliojumuishwa kwenye timu ya Taifa ya DR Congo

Wanatarajiwa kuondoka nchini baada ya mchezo wa kombe la FA Jumamosi Januari 29 dhidi ya Mbao Fc na wataiwahi Mbeya City katika mchezo utakaopigwa Februari 05

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
54m ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
4h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
9h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
9h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
13h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’