Nabi na rekodi ya kibabe Ligi Kuu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
24 Jan 2022
Nabi na rekodi ya kibabe Ligi Kuu

Unafikiri wanakosea kumuita Profesa Nasreddine Nabi? Huyu ni Prof kweli wa soka!

Mchezo wake wa kwanza msimu uliopita baada ya kujiunga na Yanga, ulikuwa dhidi ya Azam Fc, ulipigwa April 25 2021, Yanga ilipoteza kwa kufungwa bao 1-0

Tangu wakati huo Yanga haijapoteza mchezo wowote katika ligi kuu ikiwa kwenye mikono ya Prof Nabi

Ukichukua takwimu za kuanzia msimu uliopita baada ya kupoteza mchezo dhidi ya Azam Fc, Wananchi wamecheza mechi 20 pasipo kupoteza!

Katika michezo hiyo, ushindi ni mechi 16 na sare ni michezo minne. Jumla ya mabao yaliyofungwa ni 34 na kuruhusu mabao nane

Katika michezo yote kuna cleansheet 14, yaani mechi ambazo Yanga haikuruhusu bao

Chini ya Nabi Yanga imekuwa bora sana, ni timu isiyofungika kirahisi rahisi tu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
7h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
10h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
13h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
23h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’