Hatimaye uhamisho wa kiungo Mukoko Tonombe kujiunga na TP Mazembe umekamilika baada ya pande zote mbili kufikia makubaliano
Mukoko amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia TP Mazembe huku Chico Ushindi akisaini mkataba wa aina hiyo kuitumikia Yanga akitokea TP Mazembe

Kila la kheri Mukoko, katika klabu yako mpya!
ADVERTISE HERE