Aliyekuwa kiungo wa Yanga Mukoko Tonombe amewashukuru wadhamini GSM, uongozi, wanachama na mashabiki wa Yanga kwa upendo na sapoti waliyompa katika kipindi chote alichoitumikia Yanga
Mukoko alijiunga na TP Mazembe jana akisaini mkataba wa miaka miwili akiwa ameitumikia Yanga kwa mwaka mmoja na nusu
ADVERTISE HERE