Baada ya Simba kupoteza mchezo dhidi ya Kagera Sugar kwa kuchapwa bao 1-0 leo, Wameiacha Yanga ijikite kileleni mwa msimamo wa ligi kwa tofauti ya alama 10 huku timu zote zikiwa zimeshuka dimbani mara 13
Ilisemwa mapema msimu huu hautakuwa mwepesi, timu bora ndiyo itakayokuwa bingwa
Kwa mara ya kwanza msimu huu habari ya viporo haipo! Sasa kila mmoja ashinde mechi zake
Si wanataka kushindana? mbona kama pumzi inakata ivi...!


ADVERTISE HERE