Mali imeondoshwa kwenye michuano ya Afcon 2021 hatua ya 16 bora baada ya kufungwa na Guinea ya Ikweta kwa mikwaju ya penati 6-5
Ni baada ya mchezo baina ya timu hizo uliopigwa jana usiku kumalizika kwa suluhu ya bila kufungana
Mlinda lando wa Yanga Djigui Diarra ambaye alikuwa katika kikosi cha Mali, atakuwa na siku chache za kupumzisha kabla ya kurejea nchini kuendelea na majukumu yake
Huenda akawa amerejea katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mbeya City ambao utapigwa Februari 05 uwanja wa Benjamin Mkapa
ADVERTISE HERE