Jumamosi hii Wananchi watakuwa kule jijini Mwanza uwanja wa CCM Kirumba katika mchezo wa raundi ya nne kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) dhidi ya Mbao FC
Yanga imetangaza viingilio vya mchezo huo ambao utapigwa kuanzia saa kumi jioni

ADVERTISE HERE