Mwananchi wa Mwanza nenda kajisajili

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Jan 2022
Mwananchi wa Mwanza nenda kajisajili

Yanga iko jijini Mwanza ikijiandaa na mchezo wa raundi ya nne kombe la FA dhidi ya Mbao Fc ambao utapigwa Jumamosi, Januari 29 katika uwanja wa CCM Kirumba

Ujio wa Yanga Mwanza ni fursa pia kwa Mashabiki kujisajili katika mfumo mpya wa kidigitali ambapo leo zoezi la kuandikisha linaendelea uwanja wa Nyamagana na Rock City Mall

Elimu kuhusu mabadiliko inatolewa, wataalam wa Kilinet Afrika na wale wa Yanga watakuwepo kukusaidia kukamilisha usajili wako wa kidigitali

Hii fursa adimu kwa wakazi wa Mwanza na maeneo ya jirani..!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’