Mlinzi wa kulia wa Yanga Shabani Djuma amefungiwa michezo mitatu kufuatia tukio la kumpiga kiwiko mlinzi wa Polisi Tanzania Yahya Mbegu katika mchezo wa ligi kuu uliopigwa mwishoni mwa wiki
Djuma anaanza kutumikia adhabu kesho ambapo atakosa mchezo wa raundi ya nne kombe la FA dhidi ya Mbao Fc
Pia atakosa michezo ya kukamilisha duru ya kwanza dhidi ya Mbeya City na Mtibwa Sugar
Kwa sasa yuko katika majukumu ya timu ya Taifa ya DR Congo
ADVERTISE HERE