Yanga inatambua mchango wenu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
30 Jan 2022
Yanga inatambua mchango wenu

Jana kabla ya mchezo dhidi ya Mbao Fc ambao uliwashuhudia Wananchi wakitinga hatua ya 16 bora michuano ya kombe la Shirikisho kwa ushindi wa bao 1-0, wachezaji wa Yanga walifanya tukio la aina yake kuwazawadia jezi mshambuliaji wa zamani wa Yanga Fumo Felician na Mkurugenzi wa uwekezaji GSM na Mjumbe wa Kamati ya Mashindano Yanga, Injinia Hersi Said ambaye hivi karibuni alipata mtoto wa kiume

Kabla ya mchezo nahodha Bakari Nondo Mwamnyeto alimkabidhi Hersi jezi iliyosainiwa na wachezaji wote ikiwa na jina la mtoto wake, Aarman

Pia Mwamnyeto akamkabidhi jezi mshambuliaji wa zamani wa timu hiyo, Fumo Felician ambaye makazi yake ni jijini Mwanza

Fumo aliitumikia Yanga kati ya mwaka 1993-95 akitokea klabu ya Pamba Fc ya Mwanza

Enzi zake alikuwa akisifika kwa kupiga mashutu makali

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
3h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
18h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
22h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’