Diarra karejea, kazi anayo kwa Mshery

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1 Feb 2022
Diarra karejea, kazi anayo kwa Mshery

Mlinda lango namba moja wa Yanga Djigui Diarra amerejea nchini akitokea Cameroon kushiriki michuano ya Afcon 2021 akiwa na timu ya Taifa ya Mali

Mali waliondoshwa katika michuano kwenye hatua ya 16 bora. Diarra hakutaka kupoteza muda, amerejea kuendelea kuwatumikia Wananchi

Hata hivyo atakuwa na kazi ya kumuondoa langoni kinda Aboutwalib Mshery ambaye tangu asajiliwe na Yanga hajafungwa bao lolote katika michezo aliyodaka kwenye ligi na kombe la FA

Mshery amefikisha cleansheet nane, tano akizipata wakati yuko Mtibwa Sugar

Huku mdaka mishale kuel mdaka upepo! Lango la Yanga liko katika mikono salama...!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
6h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
9h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
13h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
22h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’