Mayele ni brand kubwa Tanzania - Manara

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 Feb 2022
Mayele ni brand kubwa Tanzania - Manara

Msemaji wa klabu ya Yanga Haji Manara amesema kwa sasa hakuna mchezaji maarufu Tanzania kumzidi mshambuliaji hatari wa mabingwa hao wa kihistoria, Fiston Mayele

Pamoja na ubora wake dimbani, Manara amesema staili yake ya ushangiliaji imekuwa ni habari ya mjini kila mmoja akifurahishwa nayo

Manara amesema Mayele ameonyesha uwezo mkubwa katika kufunga mabao lakini pia anawaburudisha mashabiki kwa aina yake ya ushangiliaji

Manara ametamba kuwa atahakikisha wachezaji wote wa Yanga wanakubwa ni 'brand' kama ilivyo kwa Mayele

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
11h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’