Huyo Morrison hana nafasi Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Feb 2022
Huyo Morrison hana nafasi Yanga

Baada ya Simba kutangaza kumsimamisha Mghana Bernard Morrison kwa matukio ya utovu wa nidhamu, tayari ameanza kuhusishwa kuwa mbioni kurejea Yanga

Hata hivyo hizi ni habari za kuuza Magazeti tu, jambo la uhakika ni kuwa Yanga haina mpango wowote wa kumrejesha Morrison

Morrison ni mchezaji ambaye aliikosea heshima Yanga, kwa kutumia madhaifu yaliyojitokeza katika mkataba halali aliokuwa amesaini Yanga, akaukana na kisha kwenda kujiunga na Simba

Anachofanya Morrison ni kujaribu kutengeneza mazingira ya kuongeza thamani ya mkataba mpya kwani mkataba wake na Simba unafikia tamati mwezi May 2022

Njia pekee kufanikisha hilo ni kuhusishwa na Yanga, lakini ukweli ni kuwa Yanga ilishamalizana na Morrison tangu siku CAS watoe hukumu ya kubariki maamuzi ya kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
2h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
2h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
6h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
21h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’