Uongozi wa klabu ya Yanga, leo Jumanne, saa sita na nusu mchana watakuwa na Mkutano na Wanahabari
Mkutano huo utafanyika Makao Makuu ya klabu ya Yanga, mitaa ya Twiga na Jangwani jijini Dar es salaam
Uongozi una jambo muhimu kuwajulisha Wananchi
ADVERTISE HERE