Kesho Jumanne Wananchi wanashuka kunako dimba la Benjamin Mkapa kuikabili Biashara United katika mchezo wa raundi ya tano kombe la Shirikisho la Azam (ASFC)
Yanga imetangaza viingilio vya mchezo huo ambapo Mzunguuko ni Tsh 5,000/-, VIP A ni tsh 15,000/-, VIP B na C ni Tsh 10,000/-
Unaweza kujipatia tiketi kupitia vituo vilivyoainishwa hapa chini;


ADVERTISE HERE