Mazoezi yaendelea leo uwanja wa Uhuru

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Jan 2018
Mazoezi yaendelea leo uwanja wa Uhuru
Kikosi cha Yanga leo kimeendelea kujifua kwenye uwanja wa Uhuru kujiandaa na mchezo wa ligi kuu ya Vodacom mzunguuko wa 15 dhidi ya Azam FC.

Mchezo huo utapigwa Jumamosi, Januari 27 katika dimba la Azam Complex, Chamazi na utaanza saa kumi jioni.

Yanga inasaka ushindi katika mchezo huo ili iweze kuweka hai matumaini ya kutetea ubingwa kwa msimu wa nne mfululizo.

Kikosi cha Yanga kimeweka kambi kwa ajili ya mchezo huo
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
5h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
8h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
13h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
16h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’