Kikosi cha Yanga tayari kimeondoka Morogoro mjini kuelekea Turiani ulipo uwanja wa Manungu ambao baadae leo mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar utapigwa
Wananchi waliweka kambi Morogoro mjini, baada ya kukosa hoteli yenye hadhi Turiani





ADVERTISE HERE