Katika michezo 15 ya duru ya kwanza, Yanga imemaliza ikiwa kileleni mwa msimamo wa ligi ikijikusanyia alama 39
Wananchi wameshinda michezo 12 na kutoka sare michezo mitatu
Idadi ya mabao waliyofunga ni 25 huku wakiruhusu mabao manne tu kutikisa nyavu zao
Fiston Mayele anaongoza kwa kuweka kambani mabao saba ndani ya kikosi cha Yanga huku Feisal Salum aliyefunga mabao manne, pia anaongoza kutoa assist nne

Hizi hapa takwimu za mabao
1. Fiston Mayele -7
2. Saido Ntibazokinza -5
3. Feisal Salum Toto -4
4. Jesus Moloko -3
5. Khalid Aucho -2
6. Djuma Shabani -1
7. Mukoko Tonombe-1
8. Dickson Ambundo -1
Takwimu za assist
1. Feisal Salum Toto -4
2. Saido Ntibazonkiza -2
3. Yacouba Songne -2
3. Djuma Shabani -2
4. Farid Musa -2
5. Fiston Mayele -2
6. Kibwana Shomari-1
7. Khalid Aucho -1
8. Yanick Bangala -1
9. Jesus Moloko -1
10. Yasin Mustafa -1