Kituo kinachofuata ni Kagera Sugar, tunaanza upyaaaa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
24 Feb 2022
Kituo kinachofuata ni Kagera Sugar, tunaanza upyaaaa

Baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Mtibwa Sugar jana, kikosi cha Yanga hakina muda wa kupoteza kwani wanarejea jijini Dar es salaam kujiandaa na mchezo unaofuata dhidi ya Kagera Sugar

Mchezo huo utapigwa Jumapili, Februari 27 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Wananchi wanasema wamefuta matokeo ya duru ya kwanza, kwao ligi inaanza upyaaa Februari 27 pale watakapowakaribisha Kagera Sugar pale 'Lupaso'

Katika mzunguuko wa kwanza Yanga ilidondosha alama sita katika sare tatu walizopata, mpango uliopo katika mzunguuko wa pili na kuchukua alama zote 45

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
6h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
10h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
14h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
15h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
18h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’