Kikosi cha Yanga kimeondoka mkoani Morogoro kurejea jijini Dar es salaam kujiandaa na mchezo unaofuata dhidi ya Kagera Sugar utakaopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa, Jumapili, Februari 27
Jana Yanga ilipata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Mtibwa Sugar na kumaliza duru ya kwanza pasipo kupoteza mchezo wowote






ADVERTISE HERE