Mmoja wa watangazaji mahiri wa soka Azam Media Hashim Ibwe amefichua alivyo na bahati ya kutangaza mabao ya mshambuliaji hatari wa Yanga Fiston Mayele katika mechi ambazo Mcongoman huyo yuko uwanjani
Kama hufahamu katika mechi zote za Yanga ambazo Ibwe ametangaza msimu huu, Mayele alifunga na Yanga kuibuka na ushindi
Lakini pia Ibwe alitangaza mchezo wa kimataifa wa kirafiki kati ya Tanzania dhidi ya DR Congo mwaka jana Mayele alifunga bao pekee la DR Congo katika mchezo uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa na kumalizika kwa matokeo ya sare ya bao 1-1
ADVERTISE HERE