Baada ya kuanza kibabe duru ya pili ligi kuu ya NBC kwa kuifumua Kagera Sugar mabao 3-0, kikosi cha Yanga kinarejea kujifua kujiandaa na mchezo unaofuta dhidi ya Geita Gold
Mchezo huo utapigwa Jumapili ijayo, March 06 huko Geita, mkoani Mwanza
Wananchi wana takribani wiki moja kujiandaa na mchezo huo ambao ni moja ya mechi nne mbazo Yanga itasafiri nje ya jiji la Dar es salaam
Hii hapa ratiba ya michezo mitano ijayo;

ADVERTISE HERE