Mimi ni Mwananchi - Kisinda

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1 Mar 2022
Mimi ni Mwananchi - Kisinda

Winga wa RS Berkane Tuisila Kisinda amefichua kuwa licha ya kuwatumikia matajiri hao kutoka Morocco, bado ana mapenzi na klabu ya Yanga

Kisinda aliitumikia Yanga kwa msimu mmoja kabla ya kusajiliwa na Berkane ambao waliweka dau nono mezani na wakafanikiwa kumn'goa

Juzi alikuwa sehemu ya kikosi cha Berkane kilichopata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Simba katika mchezo wa kombe la Shirikisho barani Afrika

Akizungumza baada ya mchezo huo, Kisinda alisema amekumbuka maisha yake jijini Dar es salaam na zaidi ameikumbuka sana Yanga

"Ninakumbuka Dar es salaam, nimewakumbuka marafiki zangu, mimi ni Yanga damu.! "

"Naongea tu Yanga ni nyumbani kama bosi ananitaka ninarudi kucheza fresh, tutaongea tu fresh. Kwenye mpira hapa tunacheza na Tanzania tunaweza kucheza fresh tu kila kitu kinawezekana," alisema Kisinda

Kisinda winga mwenye kasi ya kimbunga, alikuwa kipenzi cha mashabiki wa Yanga na kama ikitokea GSM wakamrudisha, litakuwa jambo kubwa sana

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
43m ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
15h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
21h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’