Ghalib Said Mohammed ambaye ni Mdhamini wa klabu ya Yanga kupitia kampuni ya GSM, amepata msiba mkubwa wa kufiwa na baba yake mzazi Mzee Said Mohammed ambaye amefariki dunia Alfajiri ya leo Jumanne
Mzee Said atazikwa leo makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam, saa kumi Alasiri
Tunatoa pole kwa familia ya GSM kufuatia msiba huu mzito, Mwenye ez mungu awape uvumilivu katika kipindi hiki kigumu
Inna Lillahi wa inna ilayhi Raji'un
ADVERTISE HERE