Yanga kuanza mawindo ya Geita Gold leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1 Mar 2022
Yanga kuanza mawindo ya Geita Gold leo

Baada ya mapumziko ya siku moja, kikosi cha Yanga leo kinarejea mazoezini kuanza maandalizi ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Geita Gold ambao utapigwa Jumapili, March 06 katika uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza

Msemaji wa Yanga Haji Manara amesema timu itaingia kambini Avic Town kesho Jumatano kukamilisha maandalizi ya mchezo huo ambapo wataondoka jijini Dar es salaam kuelekea Mwanza siku ya Ijumaa

Ni mchezo mwingine muhimu kwa Yanga kuondoka na alama zote tatu katika mpango wa kusaka ubingwa wa ligi kuu msimu huu

Yanga iko kileleni mwa msimamo wa ligi wakiwa wamekusanya alama 42 kutoka michezo 16

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
3h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
11h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
15h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’