Nafasi nyingine kwa wakazi wa jijini Mwanza kukamilisha zoezi la kujiandikisha kuwa Wanachama wa Yanga kupitia mfumo mpya wa kidigitali
Timu ya Uandikishaji, Kilinet leo iko katika uwanja wa Nyamagana, hapo Mwanza
Aidha, pia ni nafasi kwa viongozi wa Matawi ya karibu kurudisha fomu na kukamilisha Usajili wa Wanachama waliojiandikisha kupitia Matawi yao
Kesho zoezi linatarajiwa kuendelea kwenye uwanja wa CCM Kirumba kabla ya mchezo dhidi ya Geita Gold ambao utapigwa kuanzia saa kumi Alasiri


ADVERTISE HERE