Yanga imetoa taarifa ya majeruhi wanaokosa mchezo dhidi ya Geita Gold, ambapo wachezaji 10 wanakosekana kutokana na changamoto ya majeruhi na kuumwa
Hii hapa orodha ya wachezaji wanaokosekana;
1. Chrispine Ngushi
2. Abdallah Shaibu
3. Yacouba Songne
4. Jesus Moloko
5. David Bryson
6. Khalid Aucho
7. Djuma Shabani
8. Farid Mussa
9. Chico Ushindi
10. Saido Ntibazonkiza
ADVERTISE HERE