Wananchi wanaendelea kutamba kileleni

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Mar 2022
Wananchi wanaendelea kutamba kileleni

Michezo ya raundi ya 17 ligi kuu ya NBC imekamilika kwa Yanga kuendelea kutamba kileleni mwa msimamo wa ligi wakiwa na alama zao 45

Simba imeendelea kubaki katika nafasi ya pili wakiwa na alama 37 wakati Namungo Fc, Mbeya City na Azam Fc wanafuata wakiwa na alama 25

Zimebaki mechi 13 kukamilisha msimu huku Yanga ikihitaji kushinda angalau michezo 10 tu ili kujihakikishia ubingwa

Mechi za raundi ya 18 zitapigwa wiki ijayo ambapo Yanga itakuwa nyumbani uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili KMC katika mchezo utakaopigwa March 16

Bado wananchi wanaendelea kupigwa na baridi kileleni mwa msimamo wa ligi wakiongoza kwa tofauti ya alama nane

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
1h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
2h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
5h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
20h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’