Waamuzi walinde afya za wachezaji - Nabi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Mar 2022
Waamuzi walinde afya za wachezaji - Nabi

Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi amesisitiza kuwa waamuzi wanapaswa kulinda afya za wachezaji

Yanga imekabiliwa na wimbi la majeruhi ambapo kila mchezo kuna wachezaji wanaumia Nabi akitoa malamiko kuwa wachezaji wake wanakamiwa

Katika mchezo dhidi ya Geita Gold Fiston Mayele alishindwa kumaliza mchezo huo baada ya kuumizwa ingawa hayakuwa majeraha makubwa

Nabi amesema katika mchezo huo wachezaji wake walitendewa rafu nyingi lakini waamuzi hawakuchukua hatua stahiki kwa waliofanya vitendo hivyo

"Mchezaji anafanya madhambi hatarishi lakini mwamuzi anaishia kumpa kadi ya njano tu, hii sio sawa. Sisemi hili kwa ajili ya wachezaji wangu tu, bali ni kwa wachezaji wote, waamuzi wana jukumu la kulinda afya zao," alisema Nabi

Tukio la mshambuliaji George Mpole kumkanyaga Dickson Job wengi wanaamini mwamuzi alistahili kutoa kadi nyekundu kutokana na aina ya rafu aliyofanya

Msemaji wa Yanga Haji Manara amesema anaamini mamlaka za usimamizi wa soka zitachukua hatua kwa tukio lile kupitia kamati ya saa 72

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
11h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’