Kuelekea mchezo maalum wa Kirafiki na wa Hisani ya kusaidia Ali Kimara Rare Disease Foundation (AKRDF) dhidi ya timu ya Taifa ya Somalia, Kilinet Africa watakuwepo CHAMAZI MAGENGENI leo na Uwanja wa AZAM COMPLEX kesho kuhakikisha Mwanayanga ambae bado hajajisajili anasajili katika mfumo mpya wa Kidigitali.
Viongozi wa Matawi ndani ya Chamazi na maeneo yote ndani ya Dar es Salaam wametakiwa kurudisha fomu zilizojazwa ili kukamilisha usajili wa Wanachama wao

ADVERTISE HERE