Huu sio mchezo wa kukosa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Mar 2022
Huu sio mchezo wa kukosa

Ni Jumamosi hii pale uwanja wa Azam Complex, vinara wa ligi kuu ya NBC Yanga watakaposhuka dimbani kuikabili timu ya Taiffa ya Somalia katika mchezo wa Kimataifa wa kirafiki ambao ni maalum wa kuchangisha fedha kwa ajili ya Ali Kimara Foundation

Timu ya taifa ya Somalia imekubali kucheza na Yanga kwa kutambua ukubwa na hadhi ya Yanga

Pasipo na shaka, msimu huu Yanga ina kikosi imara ambacho kinaweza kuzitoa jasho timu nyingi tu za Taifa

Viingilio vya mchezo huo ni rafiki sana, mashabiki wanatarajiwa kuujaza uwanja wa Azam Complex ambao mchezo utapigwa kuanzia saa moja usiku

Hakikisha umekamata tiketi yako mapema kwani Azam Complex hauna uwezo wa kuchukua mashabiki wengi kama ulivyo uwanja wa Mkapa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
7m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
17h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
21h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
22h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
23h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’