Uongozi wa klabu ya Yanga umetoa pole kwa Rais wa Makampuni ya GSM, Ghalib Said Mohammed, uongozi na Menejimenti ya GSM Foam kufuatia kuungua kwa kiwanda cha kutengeneza magodoro cha GSM Foam, moja ya wadhamini wa klabu ya Yanga

ADVERTISE HERE