Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' Kim Poulsen ametangaza majina ya wachezaji 28 ambao wataingia kambini kujiandaa na mechi za kirafiki ambazo Tanzania inatarajiwa kucheza katika kalenda ya FIFA
Miongoni wa wachezaji hao, nyota sita wa Yanga wamejumishwa katika kikosi hicho
Mlinda Abdutwalib Mshery, walinzi Dickson Job, Bakari Nondo Mwamnyeto na Farid Mussa pamoja na viungo Zawadi Mauya na Feisal Salum 'Fei Toto'

ADVERTISE HERE