Yanga 'inakimbiza' kwa tuzo Ligi Kuu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Mar 2022
Yanga 'inakimbiza' kwa tuzo Ligi Kuu

Tangu kuanza kwa msimu huu 2021/22, wachezaji watatu wa Yanga wameshinda tuzo za mchezaji bora wa mwezi ligi kuu ya NBC

Feisal Salum alishinda tuzo ya mwezi Oktoba 2021, Fiston Mayele akashinda Januari 2022 na Saido Ntibazonkiza ametwaa tuzo hiyo mwezi uliopita (Februari 2022) wakishinda tuzo tatu kati ya sita zilizotolewa na Bodi ya Ligi mpaka sasa

Aidha Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi yeye ametwaa tuzo mbili, mwezi Oktoba 2021 na Februari 2022 na kuifanya Yanga iwe klabu iliyotwaa tuzo nyingi za mwezi kuliko timu nyingine zote zinazoshiriki ligi kuu msimu huu

Kwa hakika Yanga inaonyesha kwa vitendo kuwa msimu huu wana jambo lao!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
43m ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
1h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
4h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
19h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
23h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’