Kiungo mshambuliaji wa Yanga Saido Ntibazonkiza anatarajiwa kuoa nchini Burundi siku ya Jumamosi, March 19Β
Saido ametumia kipindi hiki ambacho ni majeruhi kufunga ndoa na mchumba wake Bi Uwera Samantha
Nyota huyo mwenye mabao sita na assist nne,Β alipata majeraha kwenye mchezo dhidi ya Kagera Sugar
Daktari wa Yanga alimpatia mapumziko ya wiki tatu ili aweze kuimarika
Akirudi Tanzania ataongozana na 'shemeji yetu', kila la kheri kwake katika tukio hilo kubwa kwenye maisha yake
ADVERTISE HERE