Mataifa ya Tanzania, Sudan na Afrika ya Kati yatatumia mapumziko ya FIFA kushiriki michuano maalum ambayo itapigwa nchini Tanzania katika uwanja wa Benjamin Mkapa kuanzia Machi 23 mpaka Machi 29
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza ratiba ya michezo hiyo ya kirafiki ambapo Tanzania itashuka dimbani Machi 23 kucheza mchezo wake wa kwanza dhidi ya Afrika ya Kati
Itakamilisha ratiba hiyo Machi 29 kwa kuumana na Sudan

ADVERTISE HERE