Kuzishuhudia Yanga vs KMC buku tano tu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Mar 2022
Kuzishuhudia Yanga vs KMC buku tano tu

Kesho Wananchi wanashuka kunako uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili KMC katika mchezo wa ligi kuu ya NBC, mzunguuko wa 18

Vinara hao wa ligi kuu wanapiga hesabu ya kuendelea kujiimarisha kileleni mwa msimamo wa ligi, wakizihitaji alama zote tatu

Kabla ya mchezo huo, Yanga imeandaa burudani za aina mbalimbali ambapo kutakuwa na mchezo wa utangulizi kati ya wafanyakazi wa Yanga dhidi ya Wasanii

Kuhakikisha mashabiki wengi wanapata nafasi ya kuwa sehemu ya mchezo huo ambao Yanga imemualika Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu kuwa mgeni rasmi, kiingilio cha chini kabisa ni Tsh 5,000/- tu. VIP A ni Tsh 15,000/- na VIP B na C ni Tsh 10,000/-

Ni mchezo mwingine wenye hadhi ya fainali, Yanga ikiingia na mkakati wa kuhakikisha wanashinda

Wananchi walichukua alama zote tatu katika mchezo wa duru ya kwanza uliopigwa uwanja wa Majimaji Songea, Fiston Mayele na Feisal Salum 'Fei Toto' wakiihakikishia Yanga ushindi wa mabao 2-0

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
5h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
14h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
20h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’