Shamrashamra za Maadhimisho ya Mwaka mmoja wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, awamu ya sita Mh Mama Samia Suluhu, zitahitimishwa uwanja wa Benjamin Mkapa kwa mchezo wa kukata na shoka kati ya Yanga dhidi ya KMC
Aliyekuwa Rais wa Tanzania awamu ya Nne Dk Jakaya Mrisho Kikwete atakuwa mgeni rasmi wa hafla hiyo
Kikwete atamuwakilisha Rais Mama Samia ambaye uongozi wa Yanga ulimualika lakini kutokana na majukumu yake imekuwa si rahisi kuhudhuria
Mageti ya uwanja wa Benjamin Mkapa yatakuwa wazi kuanzia saa nane mchana
ADVERTISE HERE