Nitaendelea kufunga mabao - Djuma

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 Mar 2022
Nitaendelea kufunga mabao - Djuma

Mlinzi wa kulia wa Yanga Djuma Shabani amesema ataendelea kufunga mabao kila anapopata nafasi ili kuisaidia Yanga kufikia malengo yake ya kutwaa ubingwa msimu huu

Djuma alifunga bao lake la pili msimu huu katika mchezo dhidi ya KMC mwishoni mwa wiki iliyopita, Yanga ikiibuka na ushindi wa mabao 2-0

Nyota huyo aliyetua Yanga akitokea  klabu ya AS Vita, pia ametoa 'assist' za mabao matatu

"Nashukuru nimeisaidia timu kupata ushindi dhidi ya KMC, nitaendelea kufunga mabao kila nitakapopata nafasi ili kutimiza malengo ya timu msimu huu"

"Kwangu mimi naona kufunga ni rahisi sana, kama sio majukumu yangu kwenye safu ya ulinzi, ningekuwa nashambulia zaidi, basi ningefunga mabao mengi," alisema Djuma

Takwimu zake zinamfanya Djuma kuwa mlinzi bora kwenye ligi mpaka sasa katika upande wa kulia kutokana na mchango wake katika kufunga na kuwatengenezea wengine nafasi za kufunga

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
9h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
13h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’