Mwenyekiti wa Makampuni ya GSM, Khalib Said Mohammed leo amekabidhiwa kadi yake ya Uanachama wa Yanga
Mchakato wa Mabadiliko ya Yanga umegharamiwa na GSM kwa asilimia 100, siku ya leo inaweza kuingia kwenye vitabu vya kumbukumbu kwa GSM mwenyewe kukabidhiwa kadi
Wanachama wa Yanga ambao wamekamilisha hatua zote za kujisajili, wanaendelea kupokea kadi zao kupitia Matawi waliyojisajili
Bado hujachelewa Mwananchi, nenda kajisajili nawe kama bado ili uwe Mwanachama wa klabu hii yenye historia ya kipekee Tanzania
ADVERTISE HERE