Kwa Yanga hii utapigwa tu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Mar 2022
Kwa Yanga hii utapigwa tu

Baada ya misimu minne ya mateso, msimu huu mashabiki wa Yanga wanafurahia maisha kutokana na ubora wa kikosi chao

Yanga ni klabu pekee ambayo haijapoteza mchezo, vinara wa kufunga mabao lakini pia ni timu iliyoruhusu mabao machache baada ya mechi 18

Yanga imepachika mabao kwenye michezo 16 kati ya 18 waliyocheza mpaka sasa

Pamoja na kocha Nasreddine Nabi kuleta utamaduni wa pasi fupi fupi 'tiki-taka', Yanga haijaacha utamaduni wake wa kushambulia kutokea pembeni

Katika magoli 31 yaliyofungwa hadi mzunguuko wa 18, magoli sita yametokana na mipira ya krosi

Takwimu zinaonyesha Yanga ndio timu iliyopiga krosi nyingi zaidi, wakipiga jumla ya krosi 302

Wananchi wanaonyesha kwa vitendo kuwa wanautaka ubingwa wa ligi kuu msimu huu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
2h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
7h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
11h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’