Jumatano ya wiki ijayo Yanga itashuka kunako uwanja wa Azam Complex, kupimana ubavu na Mafunzo kutoka visiwani Zanzibar
Ni mchezo wa kirafiki kwa ajili ya kuziandaa timu hizo kuelekea michezo yao ya ligi kuu inayofuata
April 06 Yanga itakuwa mgeni wa Azam Fc katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Azam Complex
Yanga imetangaza viingilio vya mchezo dhidi ya Mafunzo Fc ambao Mzunguuko ni Tsh 5,000/- na VIP ni Tsh 10,000/-

ADVERTISE HERE