Gadiel kawaadhibu waajiri wake wa zamani

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Jan 2018
Gadiel kawaadhibu waajiri wake wa zamani
Mlinzi wa kushoto Gadiel Michael ndiye aliyepeleka kilio Chamazi baada ya kufunga bao 'tamu' la msimu akiwa nje ya 18.

Huyu Gadiel amepita katika kituo cha kulelea vipaji cha Azam FC na alifanya uungwana kuwaomba radhi baada ya mchomo wake kuiandikia Yanga bao la pili.

Lakini pia nakumbuka jinsi Azam FC walivyotaka kumbania asitue Yanga miezi mitano iliyopita licha ya mkataba wake uliobaki kuwa chini ya miezi sita.

Gadiel amefanya Azam FC ipoteze mchezo wake wa kwanza msimu huu na kuwanyamazisha kabisa wale waliokuwa wanaichukulia 'poa' Yanga
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
4h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
4h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
8h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
12h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
15h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’