Nitarejea nikiwa imara - Aucho

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Mar 2022
Nitarejea nikiwa imara - Aucho

Kiungo wa Yanga Khalid Aucho amesema ana imani atarejea akiwa imara kutoka katika changamoto ya majeraha

Aucho amekosa michezo kadhaa ya Yanga kutokana na tatizo la misuli. Alianza mazoezi hivi karibuni na akajumuishwa katika timu ya Taifa ya Uganda

Lakini juzi kocha Mkuu wa Uganda Milutin Micho akabainisha kuwa Aucho bado hajapona sawasawa tatizo lake hivyo hataweza kumtumia

Ameendelea na program ya mazoezi chini ya uangalizi wa daktari wa timu ya Taifa ya Uganda

"Kwa Mwenye ez Mungu yote yanawezekana, Inshallah nitarudi nikiwa imara, maana nimekumbuka majukumu yangu uwanjani. Huyu mnyama atarudi akiwa imara zaidi," aliandika Aucho katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
13h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
16h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
17h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
21h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
22h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’